Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Listen now
Ratings & Reviews
5.0 stars from 5 ratings
Recent Episodes
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR, linapambana kuhakikisha linawasaidia wakimbizi katika maeneo mbalimbali ya ukanda wa Afrika Mashariki dhidi ya madhila yanayosababishwa na mafuriko makubwa kutoka na mvua za El Niño zinazoendelea. Makala hii ambayo video zake zimekusanywa...
Published 05/06/24
Janga la kibinadamu likizidi kushamiri kila uchao huko Ukanda wa Gaza, shirika la  Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaonya kuwa kuzingirwa kijeshi kwa eneo hilo sambamba na operesheni za ardhini za kijeshi huko Rafah kutasababisha janga kubwa kwa watoto 600,000 waliosaka hifadhi...
Published 05/06/24
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »