Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino Ndugai
Listen now
Description
Baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuandika barua ya kujiuzulu mengi yamesemwa, wengine wakipongeza kwamba huo ni ukomavu wa kisiasa, wengine wakisema ni sahihi kwa kuwa ni uwajibikaji kwa kiongozi huku wangine wakisema utaratibu haujafuatwa kwani ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama badala ya barua ya kujiuzulu kuelekezwa kwa bunge. Bw Edwin Soko ni Mchambuzi, Mtalaam wa utawala na Mjuzi wa sheria yeye anayo maoni gani ? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fikratunduizi/message
More Episodes
Sheria za Tanzania ni madhubuti kiasi gani kudhibiti unyanyasaji mtandaoni --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fikratunduizi/message
Published 06/01/22
Published 06/01/22