Miziki ya aina yake ndani ya Muziki Ijumaa
Listen now
Description
Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda.
More Episodes
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
Published 04/27/24
Published 04/27/24
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
Published 04/19/24