Episodes
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa. Skiza vibao vya bomba vya juma hili.
Published 08/26/22
Makala haya yanakuletea Burudani ya Muziki uliochaguliwa na waskilizaji
Published 07/15/22
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Published 07/09/22
Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora… Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia
Published 06/10/22
Makala yako Muziki ijumaa inakuletea mchanganyiko wa burudani waliochaguwa waskilizaji, juma hili usukani unaongozwa na Ali Bilali.
Published 05/25/22
Leo tunaletea burudani ya muziki kuanzia rhumba, raggae. Burudika hapo ulipo.
Published 05/04/22
Katika Makala haya Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki pamoja na chaguo ulilochaguwa wewe msikilizaji. Ambatane naye hadi tamati usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali
Published 04/22/22
Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii inayosisimua na kukuletea uhondo wa muziki wa kizazi kipya; nafasi kwako msikilizaji kuuomba wimbo unaoupenda. Karibu pata vionjo.
Published 04/16/22
Katika Muziki Ijumaa ,tunawasherekea wasanii wa muziku wa Taarab, ikiwa ni mwezi Machi mwezi wa kutambua mchango wa akina dada.
Published 03/30/22
Msikilizaji unapata nafasi ya kusikiliza kibao cha muziki ulichokiomba kwenye makala haya kila Ijumaa.Karibu sana.
Published 03/18/22
Kila Ijumaa RFI Kiswahili inakupa nafasi ya kuomba wimbo unaopenda.
Published 03/11/22
Kila ijumaa  ndani makala ya Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuomba muziki unaopenda.
Published 03/04/22
Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
Published 11/23/21
Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa
Published 11/23/21
Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi na ombi lako.
Published 10/02/21
Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.
Published 09/15/21
Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni
Published 09/10/21
Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.
Published 08/13/21
Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki  Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye  Makala haya.
Published 08/02/21
Kila Ijumaa, kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua wimbo unaoupenda, tutakuchezea na utaburudika hapo ulipo.
Published 06/30/21
Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali
Published 06/29/21
Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, hapa Caro Korr, anavicheza vibao ulivyochagua wewe.
Published 06/11/21
Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, skiza maka ya juma hili.
Published 06/04/21
Mtangazaji wako wa Makala ya Muziki Ijumaa, leo hii ni Ruben Lukumbuka, amekuandalia burudani tosha.
Published 05/28/21
Tunakupâ nafasi ya kusikiliza muziki unaoupenda. Karibu sana
Published 05/22/21