Description
Unapitia kipindi kigumu na unatamani kupata sala itakayokuongoza kwenye kuifungua akili yako ipate kufanya kazi kufuatana na Mpango wa Mungu kwenye maisha yako. Sikiliza na fuata sala hii
Neno: Ayubu 32:8
“Lakini imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi za Mwenyezi huwapa akili.”