Description
UBONGO UNAJIANDAA KUFANYA HARUSI LAKINI AKILI INATENGENEZA NDOA
1Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe