Nuni Imam Suleiman ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Listen now
Description
Anasema wizi wa kazi za sanaa unawarudisha nyuma wasanii na hivyo kuathiri kazi zao. Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na msanii huyo.
More Episodes
Katika Nyumba ya sanaa wiki hii Steaven Mumbi akishirikiana na Ruben Lukumbuka ambaye wiki iliyopita alitembelea mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alikutana na mbunifu wa sanaa mbalimbali ikiwemo ubunifu wa kutengeneza viatu bwana Christian Bazika...
Published 05/25/24
Published 05/18/24