Familia
Listen now
Description
Familia ni msingi mkuu wa matokeo yote hapa Duniani, kila unapotembea na kila unacho kiona ni msingi wa familia japo kuna matokeo mabaya na mazuri ya familia. Lakini lengo kuu la familia ni chuo maalum kinachoanda wanafamilia kuweza kuishi kwa usalama, upendo, amani ili kufikia mafanikio..
More Episodes
Kuna muda hata uwe na nguvu au akili au watu utagundua kuna muda mambo huwa hayaendi sawa.... aijarishi upo katika hali gani ila kuna muda mambo huwa hayakai sawa.
Published 07/11/21
Published 07/11/21
Mafanikio ni nini?
Published 06/15/21