Episodes
HISTORIA YA WAPENDANAO
Published 02/14/22
Published 02/14/22
Special days
Published 02/14/22
Fatilia kisa hiki cha mapenzi niache kuanzia mwanzo mpaka mwisho. MAPENZI NIACHE by ADONIA DAMAS @donrugi
Published 03/18/21
Napenda kutoa pole kwa watanzania wote kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa doctor John pombe joseph magufuri, ambaye amepoteza maisha kwa ugonjwa wa moyo kama ilivyo tangazwa na makamu wake wa urais mh samia suruhu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi AMEN 🙏🏾
Published 03/18/21
Haya ni baadhi ya mambo tutakayo anzana nayo kilijifunza.
Published 03/14/21
Published 03/14/21
Kaka wewe ni miongoni mwa watu wenye uhitaji wa kuifahamu vizuri youtube kwa undani. Na namna ya kuweka nyimbo kwenye iTunes ( Spotify, Amazon music, Apple Music, deezer na digital platform zote) basi hii inakuhusu. HAUTAKIWI KUKOSA. YouTube tutaenda kujifunza mambo kama haya...... Mfano wa mambo yanayo husu youtube ni pamoja na Haya yafuatayo * Historia fupi kuhusu uanzishwaji wa youtube * YouTube inafanyaje kazi na inamuingiziaje mmiliki wa channel hela * Ushauri jinsi ya kuikuza haraka...
Published 03/14/21