Asasi za kiraia kutoka mkoa wa Kivu Kusini, DRC, zimeitisha mgomo Jumannne kupinga waasi kuchukua mji wa Bunagana. - Septemba 27, 2022
Listen now
Description
Wanadai serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka ili kuzuia kuendelea kwa mashambulizi kutoka kundi la M23.
More Episodes
Serikali za nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zatoa tahadhari kwa raia, kufuatia mvua kuba zinazoendelea, zilizosababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
Published 05/08/24
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria
Published 05/07/24
Idadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.
Published 05/06/24