Mataifa mengi maskini yanapata shida kutafuta fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa-UNDP - Novemba 10, 2022
Listen now
Description
Mkuu wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa aonya kwamba mataifa mengi maskini yanapata shida kutafuta fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa sababu ya mzigo mkubwa wa madeni waliyonayo.
More Episodes
Jeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
Published 04/26/24
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
Published 04/25/24
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
Published 04/24/24