Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atangaza kugombania urais uchaguzi wa 2024 - Novemba 16, 2022
Listen now
Description
Wakati kura zikiwa hazijamalizika kuhesabiwa za uchaguzi wa bunge wa katikati ya muhula wa Marekani wa 2022, rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kugombea urais kwa mara nyingine kupitia chama cha Republikan katika uchaguzi wa 2024.
More Episodes
Jeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
Published 04/26/24
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
Published 04/25/24
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
Published 04/24/24