Mkutano wa kutafuta amani DRC kufanyika kuanzia saa tatu asubuhi Nairobi - Novemba 28, 2022
Listen now
Description
Chini ya wiki moja tangu makundi ya waasi mashariki mwa DRC kupewa makataa ya kuweka silaha chini, mkutano mwingine unafanyika Jumatatu mjini Nairobi, Jenya, chini ya usimamizi wa EAC.
More Episodes
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria
Published 05/07/24
Idadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.
Published 05/06/24
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi
Published 05/03/24