Mpango wa ICC kumfungulia Joseph Kony mashtaka kabla hajakamatwa waibua hisia mseto - Desemba 01, 2022
Listen now
Description
Waathiriwa wa ukatili wa kundi la waasi la Lord's Resistance Army, LRA, nchini Uganda, wamekuwa na maoni mseto, kuhusu mipango ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuanzisha kesi dhidi ya kiongozi mtoro wa kundi hilo, Joseph Kony, bila kuwepo mahakamani.
More Episodes
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Published 01/30/23
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Published 01/27/23
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Published 01/26/23