Watu 31 wafariki katika ajali ya barabarani nchini Mali - Februari 28, 2024
Listen now
Description
Watu 31 walifariki nchini Mali Jumanne na wengine 10 kujeruhiwa wakati basi lililokuwa linasafiri kuelekea Burkina Faso lilipoanguka kutoka kwenye daraja kusini mashariki mwa nchi hiyo, wizara ya uchukuzi ilisema.
More Episodes
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria
Published 05/07/24
Idadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.
Published 05/06/24
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi
Published 05/03/24