Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
Listen now
Description
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
More Episodes
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya
Published 05/02/24
Uingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda .
Published 05/01/24
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki
Published 04/30/24