Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniel akuatana ana kwa ana na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump - Mei 22, 2024
Listen now
Description
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels alikutana ana kwa ana na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne, akiwaambia majaji katika kesi yake ya New York kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi naye mwaka 2006 na alilipwa dola 130,000 ili kukaa kimya.