Rais Biden amekutana White House na Rais Ruto wa Kenya kwa ziara ya kitaifa wakati Kenya ikijiandaa kupeleka askari wake 1,000 huko Haiti. - Mei 23, 2024
Listen now
Description
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.