Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Doctor Rafiki
Doctor Rafiki Afrika
Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya familia yako na jamii kiujumla.
Listen now
Recent Episodes
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo. 
Published 05/01/24
Published 05/01/24
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia    Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu.
Published 04/25/24
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »