Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Hoja za Wahariri
Wahariri wetu wenye tajriba wanatoa hoja na mitazamo mizito kuhusu masuala yanayogonga vichwa vya habari, kila wiki.
Listen now
Recent Episodes
Published 02/25/22
Mwanahabari mstaafu wa kimataifa, Abdu Mtullya anasema vita vya Urusi na Ukraine havistahili na huenda vikaathiri zaidi uchumi duniani, ikiwamo Afrika. Vita hivyo vimesababisha kupanda kwa bei ya mafuta, Urusi ikiendelea kurusha makombora katika ngome za Ukraine, hali ambayo haijawahi kushuhudiwa...
Published 02/25/22
Je, unafahamu chimbuko la mgogoro kati ya Urusi na Ukraine, athari zake na unamaanisha nini kwa Afrika na dunia nzima? Mwanahabari/ Mhariri mstaafu na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Mohamed Abdul-Rahman anasimulia.
Published 02/22/22
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »