Karibu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.
Published 10/29/24
Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature...
Published 10/22/24