Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Michael Kamukulu
LENZI Podcast with Michael Kamukulu
Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Pata uchambuzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili. Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha biashara yako ama kufungua mradi mpya, au mtu binafsi unayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako. SIKILIZA ILI UWEZE KUJIFUNZA
Listen now
Recent Episodes
Ijue gharama halishi ya muda ambao unautumia kwenye social media (mitandao ya kijamii). Kwa wastani mtumiaji wa kawaida wa internet anatumia saa 2.5 mpaka 3 kwenye mitandao ya kijamii kwa siku. Mtanzania wa kawaida anatumia wastani wa saa 2.5 kwa siku ambayo ni sawa na siku 28 za kazi kwenye...
Published 11/04/23
DIGITAL DETOX Watumiaji wengi hawazifahamu athari zinazotokana na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii, simu, TV pamoja na aina nyingine ya vifaa vinavyotumia screen. Athari hizi zina madhara makubwa sana ikiwemno kusababisha changamoto za afya ya akili. Athari nyingine ni kama matumizi mabaya...
Published 10/28/23
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »