Episodes
Wiki ya kwanza baada ya bundesliga kurejea. Je, nini kimejiri? Wiki hii tuna mgeni na tunajadili masuala ya Bundesliga, usajili, Manchester United na Liverpool
Published 05/19/20
Published 05/19/20
Bundesliga imerudi! Je baada ya miezi miwili bila soka, wachezaji watakua na hali gani? Nini kimebadilika kwenye mchezo?
Published 05/15/20