Ep 41 - Finding your purpose
Listen now
Description
Kwa nini unaishi? Ni kipi ambacho unakitaka maishani? Ni kipi unachokithamini? Upo tayari kukifanyia kazi ili kukipata? Upo tayari kuachana na yale ambayo yanasimama katikati ya wewe na kufikia pale unapotaka kufika? Upo tayari kulipa gharama za kuweza kufika pale? Na zaidi ya yote, KWA NINI hicho kitu ni muhimu kwako? Safari ya miasha inakuja na mambo mengi sana, méngine tunaweza yaelezea mengine hatuwezi ila ukweli ni kwamba watu wengi sana bado tupo kwenye safari ya kujitafuta na ya kuweza kuelewa kwanini tupo hapa duniani. Ben Owden ameweza kuwa wazi na kuelezea safari aliyopitia yeye ili aweze kujitambua. Ameeleza mafanikio na changamoto za safari hii yenye milima na mabonde, jasho na machozi na mchakato mzima (process) muhimu kwa mtu kupitia ili aweze kuwa mtu bora zaidi
More Episodes
As we unravel today’s topic, we relive the fears of modern-day society as affected by the past experiences and history timeline itself. Well - That’s what we call “Mental work” and we at Men Men Men love to partake in the service. Now, who is a Tanzanian man? What constitutes a Tanzanian Man?...
Published 09/23/21
Umeshawahi kutaka kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako unafahamu kwamba ni ndoto yako na unatamani sana kuitimiza ila watu wanaokuzunguka wasilione hilo wala kukubaliana nalo? Ulifanya nini? Uliweza kukomaa na kutimiza ndoto zako au uliamua kuua ndoto zako na...
Published 09/09/21
Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake. Unahitaji nini ili uweze ku “survive” maisha ya gerezani? Watu wako wanaokuzunguka inabidi wafanye nini ili waweze...
Published 08/12/21