Ep 42 - Unmatched Mindset
Listen now
Description
Umeshawahi kutaka kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako unafahamu kwamba ni ndoto yako na unatamani sana kuitimiza ila watu wanaokuzunguka wasilione hilo wala kukubaliana nalo? Ulifanya nini? Uliweza kukomaa na kutimiza ndoto zako au uliamua kuua ndoto zako na kuishia kufanya kile ambacho kila mtu alikwambie ufanye? Inahitaji ushujaa, uvumilivu na commitment ya hali ya juu ili kuweza kutimiza ndoto zako, na inakua ngumu zaidi pale ambapo jamii, familia na watu wake wa karibu wanaokuzunguka wanaposhindwa kuamini na kukusaidia kutimiza ndoto ulizonazo. Phineas Steven kutoka “Unmatched Basketball” anajua vizuri sana kuhusu yote haya, Ila haikumzuia yeye kwenda mbele ili kuhakikisha ndoto yake inatimia. Karibu usikilize maongezi yake, karibu usikilize “unmatched mindset” yake ilivyomfikisha hapa alipo
More Episodes
As we unravel today’s topic, we relive the fears of modern-day society as affected by the past experiences and history timeline itself. Well - That’s what we call “Mental work” and we at Men Men Men love to partake in the service. Now, who is a Tanzanian man? What constitutes a Tanzanian Man?...
Published 09/23/21
Kwa nini unaishi? Ni kipi ambacho unakitaka maishani? Ni kipi unachokithamini? Upo tayari kukifanyia kazi ili kukipata? Upo tayari kuachana na yale ambayo yanasimama katikati ya wewe na kufikia pale unapotaka kufika? Upo tayari kulipa gharama za kuweza kufika pale? Na zaidi ya yote, KWA NINI...
Published 08/26/21
Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake. Unahitaji nini ili uweze ku “survive” maisha ya gerezani? Watu wako wanaokuzunguka inabidi wafanye nini ili waweze...
Published 08/12/21