Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Michael Baruti
Men The Podcast
One of the major barriers to men addressing and tackling the challenges they face is the fact that discussion of mental health is largely taboo for Tanzanian men. They’re not expected to open up and talk about their struggles with life. Every two weeks (Fortnightly), on Fridays Michael Baruti and Nadia Ahmed present an episode that will discuss the challenges that men go through and offer detailed insight on mental health for men. If you’re interested in Mental Health and are interested in unpacking and unlearning mental health for men in Tanzania, this podcast is exactly what you need
Listen now
Recent Episodes
Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya...
Published 08/11/22
Ni karne ya 21, na mapinduzi mengi sana ya kimaendeleo yametokea duniani na yanaendelea kutokea. Na tunajua kwamba ili tuweze kuendelea kuwa bora kama jamii na kamą wanadamu basi hatuna budi kuyakumbatia mapinduzi yenye tija na yenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Moja ya...
Published 07/28/22
Published 07/28/22
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »