Baba na mtoto wa kiume
Listen now
Description
Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78. Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”.   Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?. Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni baba wa watoto watatu wa kiume wanazungumza na ku-“share” uzoefu wao, busara, ushauri, mafaniko, changamoto, maanguko na upekee wa safari walizopitia na wanazoendelea kupitia wakiwa kama watoto wa kiume, lakini pia wakiwa kama wakina baba wanaolea watoto katika dunia ya sasa yenye mambo mengi sana.    Fanya ku-subscribe kwenye ukurasa wetu wa “YouTube” na usikilize na kufurahia mazungumzo haya.   Ni mazungumzo muhimu sana kwa kina baba wote, hususani wale wanaolea watoto wa kiume
More Episodes
Get ready for an unfiltered, dynamic conversation about relationships from a man's perspective! Join us as a group of brothers come together to share raw insights, powerful truths, and fresh perspectives on how men can navigate modern relationships and be their best selves. In today's...
Published 04/23/24
Published 04/23/24
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24