Jali afya yako ya akili
Listen now
Description
Mwezi wa kumi huwa ni mwezi maalumu kwa ajili ya kufanya kampeni inayokuza na kueneza uelewa kuhusu afya ya akili (Mental Health Awareness month). Na dhima kubwa ya mwaka huu inasema “Afya ya akili ni haki ya binadamu kwa wote” Kwa kujua umuhimu wa siku hii na namna gani swala zima la afya ya akili linavyohitaji mjadala mpana nchini Tanzania, Michael na Nadia wameketi chini na kuichambua safari nzima ya afya ya akili hapa nchini Tanzania. Tunakubaliana na ukweli kwamba kuna hatua zimepigwa kwenye kuhakikisha misaada na ufahamu wa afya ya akili unaongezeka katika jamii, ila lazima tuwe wakweli kwamba bado pengo pia linaonekana.  Mazungumzo ya leo  yanatulezea namna ya kugundua changamoto za afya ya akili, umuhimu wa kutafuta msaada, msaada unapopatikana lakini pia, kama hauwezi kumudu gharama za wataalamu, ni nini ambacho unaweza kiufanya mwenyewe ili uweze kujiokoa? Mazungumzo yote ya leo yamefanyika yakiwa na lengo moja tu, kukufanya uanze kujali afya yako ya akili. Na ndiyo maana kipindi cha leo kinaitwa “Jali afya yako ya akili”
More Episodes
Get ready for an unfiltered, dynamic conversation about relationships from a man's perspective! Join us as a group of brothers come together to share raw insights, powerful truths, and fresh perspectives on how men can navigate modern relationships and be their best selves. In today's...
Published 04/23/24
Published 04/23/24
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24