Untitled Episode
Listen now
Description
Kusoma nje ya nchi ya Tanzania kuna mpa mtu faida nyingi sana ukilinganisha na ambae hatapata nafasi hiyo. Vitu kama ubora wa elimu na “exposure” anayoipata si vitu vya kubeza hata kidogo. Kwa wengi ambao hawakupata nafasi hiyo huwa wanawaangalia waliopata hizo nafasi kama watu ambao tayari njia yao ya mafanikio imeshasafishwa na imeshachongwa kabisa, uongo? Lakini je, umeshawahi kujiuliza juu ya maisha ya ughaibuni? Ni namna gani watu wanamudu kuishi mbali na wawapendao kwa muda mrefu? Ni vipi wanaweza pambana na changamoto kama zinazotokana na kuwa mbali na nyumbani? Ni namna gani matarajio ya watu waliobaki nyumbani kwa watu hawa hugeuka kuwa mwiba mchungu kwa walio wengi? Tunajua kwanini wengine hushindwa kurudi nyumbani? Na hata wakirudi, tunafahamu wanayoyapitia? Webiro “Wakazi” Wasira anaketi na sisi na kutuambia namna mabadiliko haya yanavyoweza aidha kumjenga mtu au kumbomoa kabisa na yeye amewezaje kufika hapa alipo? Alipitia yepi? Nini ni uzoefu wake? Msikilize hapa
More Episodes
Get ready for an unfiltered, dynamic conversation about relationships from a man's perspective! Join us as a group of brothers come together to share raw insights, powerful truths, and fresh perspectives on how men can navigate modern relationships and be their best selves. In today's...
Published 04/23/24
Published 04/23/24
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24