Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from iTunes, Stitcher and more
RFI
Muziki Ijumaa
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Listen now
Recent Episodes
Historia ya Moja moja miongoni mwa makundi ya miondoko ya Hip Hop nchini Senegal Daara J Family.
Published 09/27/19
Published 09/27/19
Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kumjua baba yake. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Muziki Ijumaa,akiangazia Maisha yake ya Kimuziki.
Published 02/26/19
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from iTunes, Stitcher and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »