Episodes
Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
Published 11/23/21
Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa
Published 11/23/21
Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi na ombi lako.
Published 10/02/21
Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.
Published 09/15/21
Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni
Published 09/10/21
Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.
Published 08/13/21
Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki  Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye  Makala haya.
Published 08/02/21
Kila Ijumaa, kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua wimbo unaoupenda, tutakuchezea na utaburudika hapo ulipo.
Published 06/30/21
Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali
Published 06/29/21
Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, hapa Caro Korr, anavicheza vibao ulivyochagua wewe.
Published 06/11/21
Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, skiza maka ya juma hili.
Published 06/04/21
Mtangazaji wako wa Makala ya Muziki Ijumaa, leo hii ni Ruben Lukumbuka, amekuandalia burudani tosha.
Published 05/28/21
Tunakupâ nafasi ya kusikiliza muziki unaoupenda. Karibu sana
Published 05/22/21
Makala ya Muziki Ijumaa, wiki hii inakuletea kipindi maalumu kuhusu miaka 40 ya mfalme wa Rege, hayati Robert Nesta Marley ''Bob Marley".
Published 05/14/21
Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Live Afrika mashariki Jean Pierre Nimbona maharufu Kidum Kibidon ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya kuzungumzia mambo ya muziki kwa ujumla nchini Kenya na Burundi
Published 03/19/21
Juma hili katika Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Hip Hop kutoka Mkoani Morogoro nchini Tanzania ambae kazi zake zinafanya vizuri nchini humo.
Published 03/18/21
Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anazungumza na Maitre Gilma msanii chipukizi kutoka Kamanyola wilaya ya Uvira Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Published 03/09/21
Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na msanii kutoka nchini Rwanda aliejizolea umaharufu mkubwa kupitia nyimbo zake kama vile Igare, Umunamba, jamais na nyinginezo, anazungumza hapa kueleza mipango yake zaidi.
Published 03/09/21
Wakati RFIKiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amekuletea nyimbo mbalimbali za wanamuziki waliozoimba kwa Kifaransa na maelezo yake mafupi kuhusu nyimbo hizo, ebu sikiliza.
Published 03/08/21
Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anakuletea Burudani ya nyimbo zinazo hamasisha kuhusu virusi vya Corona. usikosi pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @Billy_bilali
Published 01/09/21