Episodes
Hata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu.
Published 08/14/13

Je, umewahi kujiuliza vipindi uvipendavyo vya redio au televisheni vinatengenezwa vipi? Sasa Noa Bongo inakupa fursa ya kufahamu vyema yote yanayotokea kabla ya kutazama televisheni au kusikiliza vipindi katika redio.
Published 08/12/13

Louis anatembea kwa kiti cha magurudumu, Junior ni shoga, naye John ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi. Watu hawa watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa.
Published 08/06/13

Dhulma za kimapenzi ni tatizo kubwa kote barani Afrika. Nuru, Pato na Allan ni waathiriwa wa visa vya unyanyasaji wa kimapenzi. Vijana hao watatu wanakabilianaje na tatizo hili maishani? Msaada wanapata wapi?

Katika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya mashirika ya kijamii na kupata nafasi ya kuijua klabu kubwa ya kandanda iliyoko katika moja ya mitaa mikubwa kabisa ya mabanda duniani huko nchini Kenya.
Published 04/07/11

Ronnie ataichezea timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 16. Kwaya ya Betty haijachaguliwa kuimba mbele ya rais. Eveline ameingia katika ukumbi wa jiji akiwa diwani mpya wa Mlimani. Je ni kitu gani kilicho mbele yao?
Published 04/06/11