Episodes
Kupata dozi ya pili ya chanjo iliyotolewa awali.
Published 08/07/21
Umuhimu wa chanjo ya corona na baadhi ya kauli ya wakaazi wa mji wa Kajiado.
Published 08/07/21
Tunaangazia imani potofu iliyojengeka katika jamii zetu kuhusiana na swala zima la chanjo ya corona.
Published 06/05/21
Kufuatia mkurupuko wa janga la corona, wanafunzi walipata likizo ndefu, likizo iliyojaa pandashuka nyingi kupelekea wengi wao kutumbukia katika msongo wa mawazo na mafadhaiko, katika makala haya, tunalichanganua tatizo hilo kwa undani zaidi.
Published 02/07/21
Published 02/07/21
Tunaangazia changamoto walizokumbana nazo wanafunzi walipokuwa nyumbani, na suala zima la ufunguzi wa shule
Published 01/12/21
Makala haya yanahusu suala zima la jinsi wanyapori wamekuwa wakiwahangaisha wakaazi wa mji wa Kajiado... Makinika msikilizaji wangu...
Published 11/02/20
Tunaangazia suala zima la jinsi serikali imewekeza raslimali nyingi katika kupigana na janga la virusi vya corona na kusahau kwamba kuna magonjwa mengine tegemezi ambayo yanafaa kupewa kipaumbele...
Published 10/23/20
Jinsi vijana walivyotafuta njia mbadala ya kujitafutia riziki msimu huu wa Covid-19...katika kaunti ya kajiado...
Published 10/08/20
Tunaangazia madhara ya ukosefu wa maji kwa wakaazi wa mji wa Kajiado... Na ombi lao kwa serikali ya kaunti...
Published 09/20/20