Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
SIRI ZA BIBLIA
SIRI ZA BIBLIA
Maarifa ya ki-Mungu na namna ya kuliishi kusudi lako
Listen now
Recent Episodes
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. 2 Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. 3 Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao...
Published 01/17/22
Published 10/24/21
1. Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani. Mathayo 17:21 ‘’ [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] ‘’ 2. Macho yako ya ndani yatakuwa yanaona vizuri. Zaburi 119:18 ‘’ Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako. ‘’ . 3. Mwili wako utakuwa...
Published 10/24/21
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »