Huu ni Wosia wa Mzazi kwa Mtoto wake, mzazi anaongea na mtoto kwa ufupi kuhusu mambo mengi ya dunia akimuasa namna bora ya kuishi, pia akimuasa kuhusu kusoma.Sura Zilizomo.i. Kuhusu Mwandishi ii. Sadaka ya KitabuKabla ya KusomaMazungumzo ya JioniSoma MwananguMaisha na KuishiDini na ImaniHekima, Busara na SubiraUtandawazi, Sayansi na TeknolojiaPesa, Tabia na MatumiziManeno ya AkibaAmbayo HayamoMawasiliano na Nurdin: WhatsApp: +255714397539