Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Clifford Sangai
SportsCast
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
Listen now
Ratings & Reviews
4.5 stars from 8 ratings
Uchambuzi mzuri
Safi sana
Bossbaby98 via Apple Podcasts · Tanzania · 02/06/22
Recent Episodes
Kuna surprise kibao kwenye Ligi Kuu Tanzania bara ambazo tumeziona baada ya Game week mbili. Matumizi ya washambuliaji wawili Timu kuhamia back-four Mawinga wenye speed Singida Big Star Aziz Ki vs Chama Sikiliza episode hii kuyajua yote hayo kisha tupe maoni yako  
Published 08/31/22
Published 08/31/22
Tangu amechukua mikoba ya kukinoa kikosi cha Chelsea, Tuchel amekuwa akihusudu mfumo wa mabeki watatu kuliko ule wa mabaki wanne ambao alikuwa akiutumia akiwa PSG. Clifford Sangai na Prosper Bartalomew wanajadili kwa kina falsafa za raia huyo wa Ujerumani. Miongoni mwa yaliyoongelewa ni kama...
Published 06/03/22
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »