Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook
Listen now
Description
Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji wengi. Maboresho hayo ni kuzuia "Reply to all" isilete kero endapo ukiwa kwenye email yenye watu wengi; Outlook mails zitaweza kutuma email baadae kutokana na muda utakaopendelea (Send Later option); na pia Outlook inaweza kukupa mawazo ya sentensi za kujibu kuendana na email ilivyo ili ikurahisishie kujibu email haraka endapo ukiwa una shughuli nyingine za kufanya. Endelea kufuatilia Podcast hii ya Swahili Tek kupata taarifa nyingi na updates mbalimbali za Teknolojia. Karibu sana!!!
More Episodes
Published 05/12/20
Karibu katika Swahili Tek, Podcast ambayo itakufahamisha mengi kuhusiana na mambo yanayotrend kwenye gadgets, simu, mitandao ya kijamii, na updates za vifaa tunavyotumia kila siku katika shughuli zetu. Hii ni Bonus ya utambulisho na kila siku nitakuwa natoa news na stories ambazo zimetokea...
Published 05/09/20