Utangulizi
Listen now
Description
Karibu katika Swahili Tek, Podcast ambayo itakufahamisha mengi kuhusiana na mambo yanayotrend kwenye gadgets, simu, mitandao ya kijamii, na updates za vifaa tunavyotumia kila siku katika shughuli zetu. Hii ni Bonus ya utambulisho na kila siku nitakuwa natoa news na stories ambazo zimetokea mitandaoni.
More Episodes
Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji...
Published 05/12/20
Published 05/12/20