Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Tanzania Gnosis
Tanzania Gnosis's podcast
Neno "Gnosis" hurejelea ujuzi tunaopata kupitia uzoefu (experience) wetu wenyewe, lakini pia si sawa na ujuzi ambao tunaambiwa au kuamini. Gnosis - kwa jina lolote katika historia au utamaduni - ni maarifa, uzoefu, si ujuzi wa kiakili au dhana tu, imani, au nadharia. Neno hili ni sawa na neno la Kiebrania "Daath" na la Sanskrit "Jna."
Listen now
Recent Episodes
Maarifa ya ndani ni kazi ya kiungu ndani ya mwanadamu. Maarifa haya hayahusiani na akili (intellect). Maarifa ama ujuzi hufahamika kwa Kiebrania kama "Daath". Maarifa yanaweza kusababisha uzima ama mauti kwa mtu, itategemeana na kazi za matendo yake. Katika masomo haya, tunapata kuona ya kwamba...
Published 03/17/24
Published 03/17/24
Nyoka hufahamika kama shetani na inaandikwa hivyo. Lakini wanadamu wa tabia za mwili hawafahamu upande wa pili wa kile kinachofahamika kama nyoka! Neno la Kiebrania Tov טוב lina maana na "mema" lakini ndani ya hayo mema tunaona kuna herufi ya Kiebrania Tet ט enye maana ya "nyoka" kadhalika herufi...
Published 02/25/24
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »