Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Teacher Msauzi
Teacher Msauzi ni kijana wa Kitanzania ambaye amefanikiwa kusafiri na kutembea na kuishi katika nchi mbalimbali ambapo amekutana na watu wa tabia na misimamo mbalimbali. Kuna msemo wa kiswahili unaosema MSAFIRI KAFIRI hivyo kutokana na Teacher Msauzi kusafiri mara kwa mara basi jina hili ndio ikawa kauli mbiu ya Teacher Msauzi. Mengi yanakuja kupitia podcast hii na platform nyingine. Huu ni mwanzo tu na ninahitaji maoni yako ili kuboresha podcast hii
Listen now
Recent Episodes
Katika episode ya 2 ya msafiri kafiri nakufahamisha nchi ambazo mtanzania anaingia bila visa,anazohitaji visa na ambazo kutokana na Covid 19 mtanzania haruhusiwi kwenda. Katika episode hii nimekutajia tu nchi hizo kwa ujumla wake lakini katika episode ya 3 panapo majaliwa nitakutajia nchi zile...
Published 04/14/21
Published 04/14/21
Katika msimu huu wa kwanza wa Msafiri kafiri tunaanza na zile hot news kutoka mtandaoni. Na moja kwa moja tunakutana na Timbwili ama Bifu kubwa linaloendelea kati ya Ray na Harmo. Je ni nini sababu ya haya yote.? Ungana nami mwanzo mpaka mwisho wa Podcast hii.
Published 04/12/21
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.