Episodes
Chanzo chema, mwisho mwema - pakua kipindi cha sita!
Published 08/23/21
Ya Judi silo ya Leo - Pakua kipindi cha tano!
Published 08/23/21
Kila mwanzo ni mzito - Pakua kipindi cha nne!
Published 08/23/21
Hamu haiji bila kupenda- Pakua kipindi cha tatu kusikiliza!
Published 08/23/21
Safari ni maandalizi- pauk kipindi cha pili!
Published 08/23/21
Msimu wa pili umerudi na timu ya Tujibebe! Sikiliza jinsi timu ya Tujibebe inakubaliana na changamoto mbalimbali kama mabdiliko ya kimwili, urafiki na mengineyo! Pakua sasa kipindi cha kwanza 
Published 08/05/21
Kapteni wa Timu anapatikana, Je ni nani huyo?
Published 02/08/21
Published 02/08/21
Tabia anawania nafasi ya ukapteni dhidi ya Jojo, Itakuaje sasa, Jojo atakubali kweli?
Published 02/08/21
Rehema anaamua kuvunja urafiki na Tunu,vimbwanga vinataradadi!
Published 02/08/21
Tunu anapoteza nafasi yake kwenye timu! Sa itakuwaje?
Published 01/05/21
Tunu anaamua kwenda kufuata ushauri wa mtu muhimu.
Published 01/05/21
Timu inapata bonge la ushindi!
Published 01/05/21
Tunu anajikuta kwenye changamoto.
Published 12/15/20
Tunu anajitahidi kutatua tatizo lake huku nafasi yake katika kikosi ikiwa hatarini.
Published 12/08/20
Hali  ya muwasho wa Tunu inazidi kuwa mbaya, huku Lulu nae anapata changamoto za kifedha! 
Published 11/30/20
Mh! Kuna mtu amegundua tatizo la Tunu! Nani huyo?
Published 11/27/20
Jojo na harakati za ukapteni ataziweza kweli?
Published 11/20/20
Katika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.
Published 11/09/20