Episodes
Sheikh Zuberi Nkwabi amezungumzia namna ya wanaume kuwa viongozi kwa wanawake
Published 03/02/24
Published 03/02/24
Katika episode hii Dr. Mbwarali Kame amejaribu kuzungumzia maadili ya mtoto
Published 03/02/24
Sheikh Shahiid Muhammad kutoka Jijini Mwanza Muhadhiri na Mwanaharakati Maarufu alituelezea haswa nini kifanyike kwa Muislamu ili Kulinda wakati.
Published 10/14/23
Tumekutana na Inspekta M.K.MAKORA kujadili Ukatili wa kijinsi namna ulivyokithiri katika Jamii ya Kitanzania
Published 10/14/23
Tulikuwa na Sheikh Hassan Muhammadayn tukijadili Amani kwa Mujibu wa Qur`an na Sunnah
Published 10/14/23
Kipindi hiki kinaelezea namna ambayo waalimu na wanafunzi wanaweza kufanya ili kufikia lengo la kukiendeleza vema kitabu cha Allah Subhaanah ambacho ni Qur`an Tukufu.
Published 10/14/23
E15 NCHA KALI PODCAST |SI KILA MWANAMKE ALIYEACHIKA KUWA SI MKE | SHEIKH NURDEEN KISHKI
Published 09/14/23
Ep14 NCHAKALI | YANAYOWASUMBUA WANAWAKE WENGI KATIKA NDOA | MWALIMU DIMOSO| PODCAST
Published 09/14/23
Ep 13 NCHA KALI | LISHE | BROTHER JUMA KILAGHAI | PODCAST #chakula #wali #sambusa #bongo
Published 09/14/23
Ep 12 NCHA KALI | MIHEMKO KATIKA JAMII | SHEIKH SALIM QAHTWAN | PODCAST #NchaKali #ADPlusSwahili|Podcast #IslamicChannel
Published 09/14/23
E11 NCHA KALI | KUKITHIRI KWA SHIRKI | SH MOHAMMED NDULI | PODCAST
Published 09/14/23
ni kipindi kinachoelezea namna ambavyo muislam anatakiwa kuamiliana na wanaadamu wenzake  00:00-01:17 Clip ya utangulizi  01:18-04;55 Ufunguzi  04:55-06:07 Jamii inaudhaifu kiasi ganikwenye suala la kuamiliana   06:08-13:20 Makosa yanayofanyika katika kuamiliana na watu  13:22-19:45 Kinachopelekea baadhi ya maduati kuwa na miamala mibovu  19:46-27:03 Miamala ya ndoa  27:07-37:50 Sifa za miamala mizuri  37:51-41:27 Mifano ya makosa ya kuamiliana  41:30-46:10 Nasaha kwa viongozi na...
Published 01/17/23
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @    00:01-01:15 Clip ya utangulizi  01:18-04:21 Ufunguzi  04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi  06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada  15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje   24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo  27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili  35:30-44:41 Malezi na baada ya...
Published 01/08/23
Kipindi kinachoelezea kuhusu sifa za mwanaume anaestahili kuoa mke zaidi ya mmoja
Published 01/08/23
ni kipindi kinachozungumzia umuhimu wa lugha ya kiarabu kwa muislam na nafasi ya lugha hiyo katika dini adhim ya uislam
Published 12/20/22
Ni kipindi kichozungumzia kutokushughulika na aibu za watu na nini uislam umetufundisha katika jambo hili
Published 12/20/22
Ni kipindi kinachozungumzia janga la kukithiri kwa kamari katika jamii hususan jamii ya kiislam
Published 11/16/22
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vipi ajipambe na kujipambanua kama muislam SH SHAMSI ELMI 
Published 11/09/22
Ni kipindi kuhusu migogoro ya mirathi na jinsi ilivyoenea katika jamii za kiislam huku zikielezwa sababu za migogoro hiyo na mbinu za kuepuka
Published 10/30/22
Athari inayopatikana kwa kumfuata Mtume S.AW
Published 10/25/22
S01 NACH KALI | E01 CHANGAMOTO ZA ULINGANIAJE | PODCAST
Published 10/14/22