Umahiri wa wanafunzi wa Kiswahili nchini Ghana
Listen now
Description
Hii leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika maadhimisho ya tatu ya siku ya lugha ya Kiswahili duniani maudhui yakiwa nafasi ya elimu ya sanaa katika kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili. Maadhimisho haya yanafanyika tarehe 3 kwa kuwa siku yenyewe ya Kiswahili duniani yaani tarehe 7 Julai itaangukia siku ya Jumapili. Katika makala hii Bosco Cosmas anatupeleka nchini Ghana kumulika umahiri wa wanafunzi wa Kiswahili.
More Episodes
Kufuatia lugha ya Kiswahili kutambuliwa na Umoja wa Mataifa na kutengenewa siku maalum, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC sasa imesema itajengea uwezo wasanii wake wanaoimba kwa lugha ya Kiswahili kama njia mojawapo ya kusambaza utamaduni wa taifa hilo. Mwakilishi wa Kudumu wa DRC kwenye...
Published 07/05/24
Ripoti mpya ya mashirika ya Umoja wa Mataifa yabaini kuwa wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuelekea Ulaya kusaka maisha bora kupitia njia za ardhini Afrika, wanakumbwa na ukatili sio tu wanapokuwa baharini, bali pia ardhini wanapokatiza nchi zingine kuelekea fukwe za bahari ya Mediteranea. Bosco...
Published 07/05/24