Ukiukaji wa haki za binadamu nchini Ethiopia
Listen now
Description
Ripoti ya umoja wa mataifa imebaini kuwa huenda vikosi vya serikali na waasi wa TPLF, jimboni Tigray walihusika kwa ukiukaji wa haki za binadamu, umoja wa mataifa ukipendekeza uchuguzi zaidi kufanywa na wahusika kuchukuliwa hatua. Benson Wakoli anaangazia ripoti hii kwa kina katika makala haya