Tanzania - wasichana waliojifungua kurejea shuleni
Listen now
Description
Mwaka 2018 aliyekuza rais wa Jumhuri ya muungano wa Tanzania hayati John pombe Magufuli ameweka marufuku ya kuwazuia wasicha waliojifungua kuendelea na masomo yao kutokana na sababu kadhaa, ila mrithi wake rais Samia Suluhu amebadili msimamo huo.