Siku 16 za kumaliza dhuluma za kijinsia duniani
Listen now
Description
Dunia imekuwa ikizingatia siku 16 za kampeini za kutokomeza dhuluma za kijinsia kwa jamii, wadau wakitumia nguvu zote kuhamasisha jamii kujiepuesha na pia kumaliza dhulama za kijinsia.