Bi Kidude | Kiswahili
Listen now
Description
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.   Tafadhali zingatia kwa makini:  Miongoni mwa mada zilizopo ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto. 
More Episodes
Meet the girl who dreams out loud
Published 06/07/24
Tata Nduta anasimulia hadithi ya msichana aliyeota kwa sauti.
Published 05/31/24
Published 05/31/24