Description
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Tree Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science, unafanya kazi kama Software Engineer au unataka kujifunza kuhusu software development.
Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:-
1. Tree Data Structure.
2. Concepts zanazotumika kwenye Tree Data Structure.