SE1 EP09 - Jifunze kujenga ushawishi na kuuza wazo lako kwa Mafanikio (Mawasiliano)
Listen now
Description
Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:- 1. Mawasiliano ni nini? 2. Umuhiumu wa mawasiliani 3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo lake 4. Mawasiliano yanavoweka kuwa complex
More Episodes
Published 03/29/24
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Tree Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science, unafanya kazi kama Software Engineer au unataka kujifunza kuhusu software development. Kwenye Kipindi cha leo...
Published 10/22/23
Kwenye kipindi cha leo nitagusia kuhusu introduction ya Tree Data Structure kwenye kompyuta.
Published 07/01/23