MY KISARAWE EXPERIENCE (WITH ANTIDIUS MARTINE)
Listen now
Description
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema namna ya kuishi au staili au mtindo wa maisha, jambo ambalo utofautiana kuringana na mtu husika kwenye maisha yake. Kwenye Episode hii kutana na ANTIDIUS MARTINE ambaye kwa upnde wake anapenda sana kuangalia mazingira (adventure), kudurusu vitu vipya na kujifunza , kwenye episide hii ameshare nasi EXPERIENCE YAKE JUU YA SAFARI ALIYOIFANYA KWENDA SEHEMU MOJA WILAYA YA KISARAWE inayoitwa PUGU KAZIMZUMBWI. Kupitia episode hii utaweza kujua mambo mengi ambayo yanapatikana Wlaya ya KISARAWE sehemu ya Ifadhi ya misitu lakini pia sehemu ya UTARII ambayo ata yeye alikuwa suprised saana kuikuta KISARAWE. Miasha yana maajabu sana na katika maajabu hayo, maajabu mengine yanaweza kuliletea faida Nchi Husika, Nini sasa kinachopatikana Kisarawe kama maajabu? ........ Ungana na Mr Antidius Martine kwenye episode hii, MY KISARAWE EXPERIENCE upate kuyajua mengi yapatikanayo KISARAWE PUGU KAZI MZUMBWI NATURE RESERVE. 🏏Music background by STEKA. Podcaster Antidius Martine Episode sponsored by ANT-EFRA DESIGN AND STYLISH. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
karibu kusikiliza episode hii mpya ambayo nmu podcast tumekuandalia, Kwenye episode hii tumezungumzia, maana ya E.P kwa undani zaidi, Pia tumeenda mbali na kuonesha E.p inatakiwa kuwa na Miziki Mingapi na inatakiwa kuwa na dakika ngapi, Pia tumegusia jinsi ambavyo Platform mbalimbali za dunia...
Published 04/07/21